DELA MARANGA – MAFEELINGS LYRICS, AUDIO & VIDEO FREE DOWNLOAD

DELA MARANGAMAFEELINGS LYRICS, AUDIO & VIDEO FREE DOWNLOAD
Writer: Dela Maranga, Bienaime Baraza / Producer: Robert
“R-Kay” Kamanzi Artist: Dela Maranga/ Guitars: Benjamin Kabaseke
Wacha nifungue roho, jina langu ni Dela
Nipe glasi nipe maji yeiye na chupa ya tequila
Siamini macho yangu, rafiki yangu na ex wangu
Wanapigana mate yeiye nyuma ya mgongo wangu
Na ni kweli umechange, siku hizi uko fishy
Unalenga meseji zangu, simu zangu haushiki
Siamini mnadate (heh) mapenzi haya tangu lini?
Kumbe mjinga ni mimi, kumbe mjinga ni mimi!
With friends like these,
Who needs an enemy?
With friends like you
Who needs an enemy?

Read More:  Kasisi Kenya Artist Moving Miles Ahead With His Artistic Clothing Line

Nimecatchi mafeelingsi yooyo, nimecatchi mafeelingsi
Nimecatchi mafeelingsi yooyo, nimecatchi mafeelingsi
Siamini macho yangu, nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelingsi yooyo, nimecatchi mafeelingsi
Nimwache, nimwache, nimwache kasema
Kwani yeye mwongo
Nilidhania wanitakia mema
Kumbe fisi yoyoo
Nimwache, nimwache, nimwache kasema
Kengeza kapata chongo
Nilidhania wanitakia mema
Kumbe fisi yoyoo

Like this post? Tweet it!

"DELA MARANGA – MAFEELINGS LYRICS, AUDIO & VIDEO FREE DOWNLOAD" by @wakenyanews

Tweet Close
More in Celebs, Entertainment, Showbiz
Here Are All The RATCHET Life Incidences Of Adelle Onyango of Kiss After Introducing “Kula Kwa Macho” song

Here Are All The RATCHET Life feelings Of Adelle Onyango of Kiss She is a lady and a half. She has been through the most difficult moments any lady would...